MTUMISHI WA MUNGU

SISTA M. DULCHISIMA

MTUMISHI WA MUNGU SISTA M. DULCHISIMA (1910-1936)

(1910 - 1936)

 

 


       SALA KWA AJILI YA KUOMBA, MTUMISHI WA MUNGU SISTA M. DULCHISIMA ATANGAZWE MWENYE HERI

       MUNGU, BABA MWENYE HURU-MA NYINGI, UMEWAPATANISHA WANADAMU WOTE PAMOJA NAWE, KWA KIFO NA UFUFUKO WAKE MWANAO WA PEKEE, YESU KRISTO.

       UWAALIKE WAAMINI WOTE WAYAUNGANISHE MATESO YAO PAMOJA NA MATESO YALE YA MWOKOZI YESU, KWA MANUFAA YA KANISA, MWILI WAKE WA FUMBO.

       UPOKEE KAMA SADAKA INAYOKUBALIKA, MAISHA YALIYOMJAA UNYENYEKEVU MTUMISHI WAKO SISTA MARIA DULCHISIMA ALIYEBEBA KWA FURAHA MSALABA WAKE KILA SIKU.

       UMVIKE TAJI LA UTUKUFU WAO WENYE HERI KATIKA UTAWALA WAKO, NA PIA UYAPOKEE MAOMBI YAO WANA-TAIFA LAKO WANAOYALETA KWAKO KUPITIA MAOMBEZI YAKE. TUNAOMBA HAYO KWA NJIA YA KRISTO BWANA WETU.

       AMINA!

 

IMPRIMATUR:
+ MAGNUS MWALUNYUNGU
ASKOFU WA TUNDURU-MASASI

 

 


.
SISTERS OF MARY IMMACULATE
P.P. Box 240 Masasi Mkoka Mtwara
TANZANIA

 

 


 

Sr. Agata Sobczyk SMI
MTUMISHI WA MUNGU SISTA M. DULCHISIMA (1910-1936)
Warszawa - Poland 2002, Tanzania - 2010

[ PDF ]

 

 


07 - 10 - 2001
 

Webmaster